JIAMINI ONLINE
MTANDAONI swala moja linalotudondosha wengi kwenye mtandao ni kukosa kujiamini, unajilinganisha sana na wengine. Hali hiyo inakupelekea hadi kuogopa kupost vitu vyako au mawazo yako. Hakuna kitu kitaanza na kuwa kikubwa hapo hapo, nikwambie tu kuna siku au miaka ijayo utasema bora ungeanza vile vile na utajutia ukiona wenzako walioamua wameshakuacha, Hebu punguza uoga anza sasa follow us on instagram. BOFYA HAPA FOLLOW US https://instagram.com/mr_sometime_?igshid=152ezamgkp4bv 🙏👍🙏