Posts

JIAMINI ONLINE

Image
MTANDAONI  swala moja linalotudondosha wengi kwenye mtandao ni kukosa kujiamini,  unajilinganisha sana na wengine. Hali hiyo inakupelekea hadi kuogopa kupost vitu vyako au mawazo yako. Hakuna kitu kitaanza na kuwa kikubwa hapo hapo, nikwambie tu kuna siku au miaka ijayo utasema bora ungeanza vile vile na utajutia ukiona wenzako walioamua wameshakuacha, Hebu punguza uoga anza sasa  follow us on instagram.             BOFYA HAPA FOLLOW US         https://instagram.com/mr_sometime_?igshid=152ezamgkp4bv   πŸ™πŸ‘πŸ™

LAPTOP BORA MWAKA 2019

Image
CHAPA BORA ZA LAPTOP MWAKA 2019 Zifuatazo ni chapa ambazo zimefanya vzur kwenye mwaka 2019 1. Lenovo 2. HP 3. Dell 4. Acer (tied) 4. Asus (tied) 6. Microsoft 7. Apple 8. Razer 9. MSI 10. Samsung tunakuandalia za mwaka 2020 ,usiondoke endelea kuwa nasi 

TENGENEZA PESA KUPITIA YOUTUBE

Image
YouTube  ni website ambayo ilianzishwa kwa lengo kila mtu aweze kutuma video yake. Haikujikita sana kwamba ukituma utalipwa ila kadri siku zinavyoenda waliona kwamba ni sehemu ambayo inaweza kumfaidisha mtu nΓ€ wao wakanufaika. Kwa nini Niwe na YouTube channel, instagram account nzuri na facebook page ✅Kujulikana ni rahisi ✅Ni sehemu inayoweza kukuingizia pesa ya ziada na hata kukuingizia pesa itakayokufanya Uache hata kazi zako nyingine ✅Unaweza kuziendesha bila kuathiri kazi zako nyingine ✅Ubunifu utakao upata wakati unaongoza vitu Hivi au kimoja Kati ya hivi unaweza kukupa mawazo zaidi ukafanya mambo makubwa zaidi #tunafundisha  #mtu mmojammoja, na tunakufuatilia Kama unahitaji Darasa tutumie msg Whatsaap:0766346065 Email: utrekakamonongo@gmail.com Kumbuka YouTube ni kazi pia kama kazi nyingine, hvyo ukiitilia maanani itakulipa sanaπŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ». . . .

SOLAR ROADS

Image
Nishati ni kitu cha muhimu sana ndio maana wanzetu hufikiria zaidi linapokuja swala hili. Solar roads ni aina mpya ya barabara za lami ambazo zina tengenezwa kwa kutumia panel maalum za solar kwaajili ya kutengeneza umeme. Kwa kuwa barabara nyingi zinakaa kwenye jua kwa muda mrefu barabara hizo za solar zinaweza kutengeneza umeme wa kutosha kabisa kwa matumizi ya kila siku. Aina hii ya teknolojia haijaishia kwenye barabara tu bali pia unaweza kutengeneza parking yenye solar au hata uwanja wenye solar.

ZILE GB 400 KWA 20000Tsh ZARUDI TENA

Najua Wengi mnamfahamu yule jamaa pasua kichwa,wanamuita Elon Musk . Hatimaye amefanikiwa kutuma twit kwa kutumia internet yake. Na ikumbukwe kwamba kupitia kampuni yake ya SpaceX wana mpango Wa kuuza GB 400 kwa elfu ishirini tu ,hivyo wapo kipindi cha majaribio.

HONOR 9X YAZINDULIWA CHINA.

Image
Baada ya mda mrefu hatimaye simu aina ya HONOR 9X yazinduliwa china huku ikiwa na RAM 8GB. Features zilizoongezwa: 1. 6.59 Inches 2. FHD + IPS display 3. Kirin 810 chipset 4. Tripple camera setup. Bei ya simu hii ni dola($) 293 Cha kuhuzunisha au kufurahisha ni kwamba kwa  upande wa rangi hadi sasa zipo aina mbili tu ,rangi ya Black na Blue basi. *Tunakuthamini ,mthamini na mwenzako mjuze kuhusu app ya Mchongo Mpya *

HATIMAYE INSTAGRAM WARAHISISHA MAISHA.

Image
Hello karibu tena,ngoja tukujuze hili kama ulikuwa haufahamu. Unaijua instagram wewe,najua jibu litakuwa ni ndio.Basi nisikuchoshe ,hadi sasa instagram wanataka kuleta kitu kinaitwa shortcut, yaani ukiwa na app yako ya INSTAGRAM utaweza kupost kitu bila hata kuingia kabisa katika app hiyo. Njia hiyo imeonekana  itakuwa na mvuto sana na watu wengi wameipenda feature hizo mpya. Utatuma msg direct bila hata kuingia moja kwa moja ndani ya app hiyo. ***Tambua taarifa zikijiri tu na wewe umezipata ,unakuwa wa kisasa zaidi ukiwa nasi na hapa Hakuna longolongo tunakuletea kilichothibishwa****