ZILE GB 400 KWA 20000Tsh ZARUDI TENA
Najua Wengi mnamfahamu yule jamaa pasua kichwa,wanamuita Elon Musk .
Hatimaye amefanikiwa kutuma twit kwa kutumia internet yake.
Na ikumbukwe kwamba kupitia kampuni yake ya SpaceX wana mpango Wa kuuza GB 400 kwa elfu ishirini tu ,hivyo wapo kipindi cha majaribio.
Comments
Post a Comment