TENGENEZA PESA KUPITIA YOUTUBE
YouTube ni website ambayo ilianzishwa kwa lengo kila mtu aweze kutuma video yake.
Haikujikita sana kwamba ukituma utalipwa ila kadri siku zinavyoenda waliona kwamba ni sehemu ambayo inaweza kumfaidisha mtu nΓ€ wao wakanufaika.
Kwa nini Niwe na YouTube channel, instagram account nzuri na facebook page
✅Kujulikana ni rahisi
✅Ni sehemu inayoweza kukuingizia pesa ya ziada na hata kukuingizia pesa itakayokufanya Uache hata kazi zako nyingine ✅Unaweza kuziendesha bila kuathiri kazi zako nyingine ✅Ubunifu utakao upata wakati unaongoza vitu
Hivi au kimoja Kati ya hivi unaweza kukupa mawazo zaidi ukafanya mambo makubwa zaidi
#tunafundisha #mtu mmojammoja, na tunakufuatilia
Kama unahitaji Darasa tutumie msg
Whatsaap:0766346065
Email: utrekakamonongo@gmail.com
Kumbuka YouTube ni kazi pia kama kazi nyingine, hvyo ukiitilia maanani itakulipa sanaππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ».
.
.
.
Comments
Post a Comment