Posts

Showing posts from July, 2020

JIAMINI ONLINE

Image
MTANDAONI  swala moja linalotudondosha wengi kwenye mtandao ni kukosa kujiamini,  unajilinganisha sana na wengine. Hali hiyo inakupelekea hadi kuogopa kupost vitu vyako au mawazo yako. Hakuna kitu kitaanza na kuwa kikubwa hapo hapo, nikwambie tu kuna siku au miaka ijayo utasema bora ungeanza vile vile na utajutia ukiona wenzako walioamua wameshakuacha, Hebu punguza uoga anza sasa  follow us on instagram.             BOFYA HAPA FOLLOW US         https://instagram.com/mr_sometime_?igshid=152ezamgkp4bv   🙏👍🙏