HONOR 9X YAZINDULIWA CHINA.
Baada ya mda mrefu hatimaye simu aina ya HONOR 9X yazinduliwa china huku ikiwa na RAM 8GB.
Features zilizoongezwa:
1. 6.59 Inches
2. FHD + IPS display
3. Kirin 810 chipset
4. Tripple camera setup.
Bei ya simu hii ni dola($) 293
Cha kuhuzunisha au kufurahisha ni kwamba kwa upande wa rangi hadi sasa zipo aina mbili tu ,rangi ya Black na Blue basi.
*Tunakuthamini ,mthamini na mwenzako mjuze kuhusu app ya Mchongo Mpya *

Comments
Post a Comment