APPLICATION ZENYE MADHARA ZA TAWALA PLAYSTORE.
Playstore ni ghala maalumu ambapo unaweza kupakua/download app unayoipenda kutoka huko.
Kumekuwa na watumizi wengi sana wakipata wakipendacho kutoka huko ,kwa mfano ukitafuta mchongo mpya utaipata playstore.
Hatimaye google wameamua kutoa tahadhari kwamba application ambazo sio salama zimetapakaa au zimezidi kuwa nyingi playstore.
Hadi sasa report inaonyesha kuwa application ambazo sio salama zipo zaidi ya 170 na zimeshapakuwaliwa zaidi ya Mil 300 ,
hivyo inaonyesha watu wengi zaidi wameshaathirika na applications hizo.
Aidha google wamesema wapo wakipambana na swala hilo na hayo matatizo wapo wanayadhibiti.
***Endelea kuwa nasi ,tukujuze mengi ya faida***

Comments
Post a Comment