HATIMAYE INSTAGRAM WARAHISISHA MAISHA.

Hello karibu tena,ngoja tukujuze hili kama ulikuwa haufahamu.
Unaijua instagram wewe,najua jibu litakuwa ni ndio.Basi nisikuchoshe ,hadi sasa instagram wanataka kuleta kitu kinaitwa shortcut, yaani ukiwa na app yako ya INSTAGRAM utaweza kupost kitu bila hata kuingia kabisa katika app hiyo.


Njia hiyo imeonekana  itakuwa na mvuto sana na watu wengi wameipenda feature hizo mpya.
Utatuma msg direct bila hata kuingia moja kwa moja ndani ya app hiyo.

***Tambua taarifa zikijiri tu na wewe umezipata ,unakuwa wa kisasa zaidi ukiwa nasi na hapa Hakuna longolongo tunakuletea kilichothibishwa****

Comments

Popular posts from this blog

JIAMINI ONLINE

LAPTOP BORA MWAKA 2019

TENGENEZA PESA KUPITIA YOUTUBE